Kali Za Kale – Abuthwalib Lukungu (Kenya)
Ziliwa enzi za kale, Anga ilibadilika Tukawa sote wateule, bara likatikisika Nasi pamwe na wale, Walau tukazindika Likaja bila kupusa, Wingu la mabadiliko Wimbi la matumaini, Ya uhuru lilifika Lipoenda mkoloni, Akabaki Mwafrika Mawimbi siasani, [...]