Kabla Ya Kudijitika – Ijeiza Halima Kimani (Kenya)
Kabla ya dijitali, mambo yalikuwa shwari, Lithamini aasili, kujionea fahari, Mazingira tulitali, mtima kajawa ari, Kabla ya kudijitika, lijifunza visasili. Lijifunza visasili, lotusimulia babu, [...]